Akili Kids! Blog

Story za Shosh

Krisi In Shagz!

Part 1 : Christmas Eve “Mama Vinii, Mama Vinii… Mambo?” – Sydo Greeted his Aunt. “Poa sana Sydo,” replied her Aunt “Habari ya Nairobi?” She asked with a smile on her face. “Ni poa sana. Tumefunga shule  na Dad alitupromise tutakuja Ushago tukifunga shule” replied Sydo. “Akina Vinii, Manu na Vanessa wako wapi?” He asked…

Read More »

Boi goes to shagz for Krisi

Boi Goes To Shagzs For Krisi 🎄

Baba Boi and Mama Boi are rushing to prepare their children so they can begin their journey. Mama Boi is helping Keni wear a sweater while  Boi and Sydo are combing their hair. “Harakisheni Boi na Sydo, sitaki tuchelewe kupata basi. Tukikosa itakuwa shida sana na vile hakuna mabasi mingi saizi” They finish combing their…

Read More »

Boi Is A Shujaa 🦸🏾‍♂️

  It is Wednesday morning. Mama Boi is preparing Boi and his siblings Sydo and Keni to go to school.  She helps them pack their lunch in their lunchboxes and put it in their bags. “Haya! twendeni, twendeni Boi. Sitaki mchelewe kufika shule leo. Basi iko karibu kufika kwa gate!” Mama Boi called out. “Chiiilaaax….tunaharakisha mum!” Boi giggles as…

Read More »

Keeping Up With Boi: Keni Writes A Letter To Princess Pea.

Mama Boi is back from escorting Boi and Sydo from School. She finds Keni in the living room watching Akili Kids! TV on the television. “Mum, mum!” she called the mother looking excited. “Nataka kuandika barua.” “Barua? Unaandikia nani barua kamum?” Asked the mother. “Akili Kids! TV wametuambia tunaweza andikia barua to yule character tunapenda kwa Akili Kids! TV alafu watasoma…

Read More »

Keeping up with Boi: Scamming

Boi is playing games on his Fathers phone. The Phone pings, its an SMS message. “Dad! Dad! uko na message kwa simu.”  Said Boi while handing the phone to the Dad.  “Ebu nione, imetoka kwa nani.” Said Baba Boi. ‘H11S1UKWEL1 Confirmed. You have received Ksh5,000.00 from JEFF MPORAJI on 28/06/2022 at 12:11 PM. New balance…

Read More »

Keeping Up With Boi (Password protection)

It is morning and Baba Boi looks distressed about something. He is typing something on his smartphone.  “Aaaaargh! Kwani hii password ni gani? si nakumbuka vile niliweka last time,” said Baba Boi. “Kwa nini saizi inanisumbua.”  “Baba Boi, ata wewe huwa unapoteza password yako kila saa,” said Mama Boi. “Na hata hujakaa na hii simu kwa mda mrefu.” She…

Read More »