Keeping Up With Boi (Password protection)
It is morning and Baba Boi looks distressed about something. He is typing something on his smartphone.
“Aaaaargh! Kwani hii password ni gani? si nakumbuka vile niliweka last time,” said Baba Boi. “Kwa nini saizi inanisumbua.”
“Baba Boi, ata wewe huwa unapoteza password yako kila saa,” said Mama Boi. “Na hata hujakaa na hii simu kwa mda mrefu.” She said.
“Si ati napoteza password,” said Baba Boi. “Kila time naweka password kwa account yangu ya Facebook iko sawa, lakini next time nikijaribu kuiweka tena, ni kama imebadilika.”
“Uko sure hakuna mtu mwingine anajua hiyo password yako?” asked Mama Boi.
“Ama kuna mtu anaweza kuwa amehack Facebook account yangu?” said Baba Boi. “Unajua juzi nimekuwa kwa cyber cafe. Walikuwa wananisaidia kubadilisha password. Sijui kama walilog out kwa account yangu.”
“Basi, itabidi tumebadilisha password yako saizi,” she said. “Ndio sasa next time ukuwe unaikumbuka na kuijua vizuri.”
Baba Boi hands over his phone to Mama Boi. She is helping him out with the password issue.
“Mimi sijui vitu mingi sana kuhusu hizi mambo za social media, lakini najua password yako hufai kuwa unasahau tu hivo,” Said Mama Boi. “Nimejifunza kidogo kidogo kwa ile show akina Boi wanawatch ya Flash Squad.”
“Ooooh, naikumbuka,” he said. “Inaendelea aje?” He asked.
“Iko poa so far.” She replied. “Unajua last time, ilikuwa inahusu kupoteza password, kama tu wewe.”She teased.
She hands over the phone to him.
“Sasa weka password mpya hapa,” she instructs. “Na usiniambie.”
“Wacha niweke ile yenye natumia kila mahali.” He said.
“Apana, usifanye hivo!” She exclaimed.
“Ata kwa Flash Squad wanasema, ile password unatumia kwa account moja, hufai kutumia kila mahali,” she said.“Tumia password different kwa kila account.”
“Kwa nini, na hiyo ndio nitakumbuka virahisi?” He asked.
“Unajua kama mtu amepata password yako ya account moja, anaweza kuaccess hizo account zingine,” said Mama Boi.“Ndio maana hufai kutumia the same password kila mahali.”
“Sawa, na nikisahau hii ingine?” Asked Baba Boi.
“Wewe andika kwanza, niko hapa kukusaidia,” said Mama Boi.
“Nimeandika,” said Baba Boi.
“Sasa, shika kalamu na karatasi, uandike hiyo password alafu utaiweka mahali haitapotea,” She said. “Na pia mahali mtu hawezi kuipata.”
“Wueh, na wewe ni mnoma!” Said Baba Boi.
“Nakuwanga mnoma kila siku,” she chuckled. “ Sasa hizo steps, ndio zinaitwa permanence, privacy na protection.”
“Basi ntabadilisha passwords zangu zote, na niziandike kwa notebook yangu ya secret passwords,” he said.