Ni Yangu! Ni Yangu! Teaching Your Children To Share – Keeping Up With Boi

“Hii ni yangu! Wachana nayo! Wachana nayo! Aki wewe Sydo! Nitakusema kwa mummy!” Keni cried out as she held on tightly to her kiddie tablet.  “Ata mimi nataka kucheza nayo,” Sydo insisted. “Nyinyi wawili, kwani hamwezi share toys pamoja? We have to share!”Mama Boi said with a stern face. While this was happening, Baba Boi…

Read More