Posts Tagged ‘christmas’
Krisi In Shagz!
Part 1 : Christmas Eve “Mama Vinii, Mama Vinii… Mambo?” – Sydo Greeted his Aunt. “Poa sana Sydo,” replied her Aunt “Habari ya Nairobi?” She asked with a smile on her face. “Ni poa sana. Tumefunga shule na Dad alitupromise tutakuja Ushago tukifunga shule” replied Sydo. “Akina Vinii, Manu na Vanessa wako wapi?” He asked…
Read More