Keeping up with Boi (Flash Squad)

Boi and his siblings, Sydo and Keni are back home from school. They have just closed for their mid-term break and are about to start binge-watching on Akili Kids! TV.
“Mum! Mum!, leo kwa shule headmaster alituambia tumefunga shule for mid-term holiday”
“Eeeeeh!, hiyo ni poa sana!” Exclaimed Mama Boi.“So mmefunga for how long?” She asked. 
“Teacher kwa class alisema atatupea homework ya kutosha for 5 days, ni kama itakuwa for 5 days”
“Kwa hivyo uko na homework ya kufanya?”  Na wewe Sydo na Keni, mko na homework?” 
“Eeeeeh!” said the children in a cheerful manner.
“Basi nataka, mjipange vizuri na timetable yenu, alafu mmalize homework zenu, mmeniskia?”
“Yeees Mum!” said the kids as they went to change their school uniforms and keep their bags away.


Sydo and Boi come back running to the living room. Hurriedly they grab the remote. Boi does so before Sydo. 
“Mbona mnakimbia hivo ndani ya nyumba?” Asked Mama boi while seeming a little bit displeased.
“Mnajua mnaweza kuumia vibaya, na sina pesa ya kupeleka mtu hospitali. Ni nini mnakimbilia hivo?”
“Ni remote!” Poor Sydo cried out as he had lost to his brother Boi.“Nataka kuwatch Akili Kids!” said Boi. 
“Basi si mnaweza kuwatch bila kukimbia hivo kwa sitting room.”
“Kama mnataka kuwatch Akili Kids!, kuna a new show niliona wanaleta inaitwa FLASH SQUAD”.
“Wooooow!” Keni, the younger sister was amazed, “Ni poa Mum?” she asked.
“Ata mimi sijui, inakaa kuwa poa juu ile trailer wamekuwa wakileta ni poa sana.”
Keni and her siblings were all elated about the news their mum was giving them.
“Inakuja saa ngapi?” asked Boi. “Inaanza by 7:30 PM on Fridays kwa Akili Fam!.
Mkiwacha mimi na Baba yenu tuwatch news leo usiku, tutawaekea after news.”
“But mum, news inabooooo!” said Boi in a gloomy face. 
“Basi tuweke 15 minutes after news imeanza.” said Boi
“Wacha tuweke after 20 minutes!” Sydo jumping in to negotiate.
“Lakini ata Flash Squad haitakuwa imeanza” Mama Boi trying to convince them. “Ni sawa Mum! Bora utatuwekea after news, sindio?”
“Yes kamama” she assured the little one.


Time passed and evening approached. The children were all excited to begin watching Flash Squad.
“Mum, news imeisha, tuwekee Akili Kids! pleeease😊😊😊,” pleaded the young one, Keni.
She switched the channel and Flash Squad had barely started.
They were sitting pretty and you could see the excitement in their faces.
The show is showingMIMI(A character in the show) is at her locker.
Her smartphone pings and she looks at the screen. We don’t see what is on it, but Mimi is clearly distressed.
The kids remained glued to the television, and they watched till the end without anyone interrupting their attention on the show.
“Waaaah, na iko Bie” said Boi and all his siblings nodded in agreement. 


The show ended after 10 minutes.
“So mum! unakumbuka, ile time watu walihack Facebook account yako alafu wakaanza kuitisha friends wako pesa…” Sydo in amusement said.
“Basi ata sisi tukipata simu, tutakuwa careful sana na mambo ya social media”
“Eeeeh! ni vizuri mkae rada”, said Mama Boi laughing with the kids.
“Basi hii Flash Squad ni noma, itakuwa inawapatia information poa poa especially kuhusu vile mtakuwa mnajichunga na mambo ya internet na social media.” Said Mama Boi.