Keeping up with Boi (Trolling Episode)
It is a chill Sunday afternoon. Baba Boi is done cleaning his motorbike, ready to begin his week on Monday.
“Daddy, si ulisema utatubeba kwa bike yako, leo?” asks Keni as she comes running to her Dad.
“Yes, kamum, najua niliwapromise, lakini nimeosha tu bike saizi, labda niwabebe kwa bike lakini hatuendi mahali, si ni sawa?”.
“Sawa Dad,” She said in a joyous mood.
“Basi enda ukaite Boi na Sydo mkuje niwabebe, alafu nitawapiga picha kama mko kwa bike”
“Boi!, Boi! kuja dad anatuita, Sydo kuja” She runs to the house to call her elder siblings.
“Boi, nataka niwabebe kwa bike leo lakini hatuendi mahali, nitawapiga tu picha ni kama mnaendesha motor bike”.
He proceeds to put down the Bike stand, then lifts the children onto the bike. He takes out his smartphone and takes a Selfie facing the kids on the motorbike and two more selfies.
He immediately proceeds to posts the photos on Facebook and caption “Sunday ni kurelax na family” #family#chilling#goodtimes
It is Monday evening and Baba Boi is back home after a long working day. He appears bothered. Mama Boi welcomes him to the house.
“Mambo Baba Boi, siku yako imekuwa aje leo?” asks Mama Boi.
“Job imekuwa poa, lakini kuna watu wamekuja kuniharibia siku jioni vile nilikuwa naangalia Facebook yangu”.
“Kwani nini imefanyika?” asked Mama Boi.
“Sasa, jana after nimemaliza kuosha bike around lunch time, niliweka watoto kwa bike tukapiga mapicha, kujibamba tu!Alafu nikapost kwa Facebook”.
“Leo jioni, kuingia kwa Facebook, napata kuna watu wengine wameanza kuongea vibaya kunihusu na kuhusu zile picha nimepost.”
“Na ni kama, si real accounts kwa sababu zile majina wanatumia, ni za kuguess, na pia ni watu wenye si friends zangu”.
“Ati ni za kuguess?” asks Mama Boi while laughing.
“Kuna mmoja aliongea vibaya sana, wacha tu nikuonyeshe”
He takes out his phone to show Mama Boi the comments. The first comment which had tonnes of reactions read;
‘How can you leave your children alone on the motorbike, that is very dangerous. You need to be a careful father! -(Phyllo Queen Mtrue)’
‘Huyu anataka watoto wake pia wakuwe bodaboda riders in life, you need to give your children a better vision in life.(Johnte Mhumble )’
Other people had also negatively commented on these two posts.
“Niliwajibu vibaya ata mimi, sikuwaacha tu hivo” said Baba Boi.
“Alafu sasa, wakaanza matusi, mimi sikuwa na time ya kuwajibu tena, so nikawaacha tu hivo. Lakini nataka kudelete ata hii picha, ndio watu wengine wasikuje kucomment vitu mbaya”.
“Si ungewacha tu kubishana na wao. Kwanza, Boi, ile show ya Flash Squad yenye mliwatch, si walikuwa wanaongelea mambo ya online trolling?”.
“Eeeeeh!” shouted the kids in unison.
“Eh! ni show gani hiyo sijui?”, asked Baba Boi.
“Inaitwa Flash Squad Dad, iko kwa Akili Kids! TV” Keni told her father.
“Eeeh, waliona kwa Akili Kids! TV, last week on Friday” added Mama Boi.
“Kwani hiyo show ilikuwa inahusu nini?” inquired the dad.
“Daddy!, daddy! kuna msichana anaitwa Phiona, aliambiwa vitu mbaya kwa social media, na kumbe mwenye alimwambia alikuwa ni msichana mwingine tu wa shule yao anajifanya ni mtu mwingine” said Sydo in a joyful mood as the others watched him explain to their father.
“Ni kama hao watu walikuwa wanacomment vitu mbaya mbaya, hata siwajui lakini waliamua tu kusema vitu mbaya”
“Anyway, sasa alifanya nini?” asked the dad.
“Dad!, kwa Flash Squad walisema step 1 ni Report” said Boi.
“Hiyo ndio nini sasa” exclaimed Baba Boi.
“Kureport, ni kutuma complaint ya hiyo account inasema vitu mbaya kukuhusu kwa Facebook” explained Mama Boi.
“tuna click tu hizo comment zao alafu kuna option ya kureport, tunaclick hapo”. Said Mama Boi as she was showing him how do it.
“Dad!, alafu step ingine yenye walisema kwa Flash Squad ni Block” said Sydo.
“Ata wewe unajua baba?” asked Baba Boi.
“Eeeh! najua. Ukiblock hao watu, hawatakuwa wanaona Facebook yako” said Sydo.
“Anamanisha posts zako za Facebook na kila kitu unapost hawataweza kuona” clarified Mama Boi.
“So, tutaclick hiyo jina zao alafu tuclick on Block user” she continued.
“Na last step ni gani?” she said in excitement while looking at the Kids.
“Clean” they all shouted in excitement.
“Kuclean ni, kumake sure umedelete hizo comments mbaya from your post,” emphasised Mama Boi.
“Ebu, delete hizo comments kwanza” she insisted.
“Sasa hiyo ndio REPORT, BLOCK AND CLEAN” said Mama Boi.
“Heh! Si hiyo show ni noma sana, yaani mmejua hiyo yote kutoka kwa hiyo show?” he asked.
“Inakuja saa ngapi ndioi next time tuwatch pamoja?”
“Inaanza usiku by 7:30.” said Mama Boi
“Na usichelewe kukuja home this Friday,” she insisted
“Ni sawa, nitamake sure nimekuja mapema on Friday” assured Baba Boi