Watafika on time kweli? – Boi’s Family Day Out!

“Leo tunaenda kuona lion!” Sydo ran across the house super excited about their trip to the animal orphanage. His parents had promised to take him and his siblings during the school holiday.  

“Weweee…unapigia watu kelele!” his dad shouted as he poured tea into the thermos flask. “Ebu kwanza peleka chai kwa meza tukule breakfast. Akina Boi washamaliza kuvaa?”, Baba Boi asked as he passed the tray to Sydo.

“Mum ndio hajamaliza, anatafuta ile kitambaa yake ya kichwa ya color green ”, Sydo mentioned.

“Lakini Mama Boi pia yeye…si ange tafuta hio kitambaa jana usiku. Tutachelewa!”, Baba Boi thought.

“Activate Creature Power Suit!”, Sydo belted out the phrase that Chris and Martin Kratt use in Wild Kratts.  

“Ha! Hio ni nini?” Baba Boi asked.

“Hio suit ya akina Chris huwa inachange into any animal unataka alafu inakupea creature powers!” Sydo confidently replied as he arranged the cups and plates on the table.

“Ohh…Okay. Na nimenotice unapenda sana hii kipindi. Wewe unataka creature power gani?” his dad engaged him further.

“Ya Kuswim uko deep end kama Whale!” Sydo cheerfully replied.

“Okay! Wacha nitakutafutia hio creature power suit huko Gikomba!” Baba Boi joked.

“Na wewe, Keni? Ni nini umelearn kwa hio show ya Wild Kratts?” Baba Boi asked as he sat to have his breakfast.

“Every time I watch Wild Kratts with akina Boi, I learn about different animals and the countries they are found in.” Keni smiled smugly to her dad.

“Okeeeey! Kangaroo inapatikana which country?” Baba Boi poked.

“Australia!” Keni responded with gusto!

“Nice! Next time mukiwatch, muniite niwatch pia, sawa? Haiya!  Nyinyi watu…malizeni breakfast haraka tuende tukaone Lion na Mr. Girrafe! Ama mnataka twende kwa shosh instead?” Baba Boi sarcastically suggested.

“Twende!”, Mama Boi replied and sipped the last drop of tea in her cup. 

(A few hours later, akina Boi have finally arrived at the animal orphanage.)

“Mama Boi, si uweke kidole yako kwa hii nyumba ya lion tuone nini itafanyika?” Baba Boi teased.

“Aiiiii…wewe eka yako tuone!” Mama Boi shrugged off.

“Haiiiiiya, ndio zile baboons!”, Keni pointed out.

“Twendeni tukawasalimie!” Boi exclaimed.

“Tweendeee! Twendeee! ” Keni agreed. She was feeling exhilarated about the trip and seeing the animals she’s learned in school and on Wild Kratts!  

What fun activities are you and your family up to during the school holiday? Tuchapie kwa comments. 🙂

Love,

Baba Boi!