Sydo! Hujakuwa Ukisave? Keeping Up With Boi

(It’s another ordinary Saturday morning at Boi’s home where Baba Boi kama kawaida, forgot to pass by Center’s supermarket to get breakfast, and now someone has to wake up to go buy…)

“Sydo, Keni…” Mama Boi gently woke the kids up.

“Eee…mum,” Sydo sleepily responded.

“Please amkeni muende mkanunue breakfast haraka haraka nipike,” Mama Boi requested.

“Mummy, leo mimi nataka ile mkate ya train! Aki siutatengeneza Avocado Sandwich?” Keni insisted. 

“Sawa ka-mum. Nitawatengenezea,” Mama Boi replied.

“ Haiya bas, Sydo, nimekupa how much?” Mama Boi asked.

“200 bob mum, ninunue nini na nini?” Sydo replied.

“Nunua mkate ile refu ya 100/- , carrots za 30/-, airtime ya 20/- na mafuta ya kupima ya 30/-”. Change itabaki 20/-.” Mama Boi instructed them.

“Mummy tukeep change?” Sydo asked slyly. 

“Sawa! Na mkisahau kitu kwa duka itabidi mmerudi tena,” Mama Boi replied with a side-eye.

Meme Source: Reddit.

( A few minutes later the kids came back with groceries and they were quite excite

“Mummy, next month tuna school trip! Teacher alituambia tutapelekwa Lake Naivasha! Tunafaa kuwa tumelipa 700/- in the next two weeks!” Sydo reported.

“Two Weeks! Umekuwa ukisave?” Mama Boi asked.

“Mmmm…Si vile. But si utanilipia tu!” Sydo remarked with conviction.

“Na zile change na allowance mi hukupea, wewe hupeleka wapi?” Mama Boi asked.

“Mimi hukula crisps na ice nikitoka shule… unakumbuka ata ile siku nilikununulia wewe na akina Boi,” Sydo defended himself.

“Wewe Sydo, hmmm…uko na mchezo! Ni juzi tulikuwa tuna watch episode ya savings on Ubongo Kids kwa Akili Kids! TV. Ukweli ama uwongo?” Mama Boi asked.

“Ukweli…” Sydo replied.

“Akina Kibena walikuwa wanatuambia nini kuhusu savings?” Mama Boi asked as she prepped the avocado sandwiches that Keni was eagerly waiting for!

“Walisema ni vizuri ukipata pesa unasave kidogo kidogo. Ukipewa pesa ya lunch, fare ama change, usitumie yote. Unaweka kwa ka-mkebe ndio uweze kujinunulia kitu poa in the future!”, Boi replied with a bit of hesitation.

“Kumbe unajua! Haiya bas, uko na two weeks. Save 25 bob kwa ile 50 bob mimi hukupa. Hio siku ya trip ikifika, nitakuongezea balance. Tuko pamoja?” Mama Boi advised. 

“Yes, mummy. Nitafanya hivyo,” Sydo replied with a sense of relief. 

“Haiya, enda uamshe akina Dad na Boi wakule breakfast,” Mama Boi requested and Sydo took off!

Wazazi, have you started teaching your children how to save? Kujeni tudiscuss. 🙂